Top
Maswali Yako Kujibiwa
Waliofika Kambini Wanasemaje?
Mkazo Wa Kambi Za Disemba 2011
This form does not yet contain any fields.
    Login

    Power 2 Stand

    Kambi za Power 2 Stand zimeisha malizika!  Vijana zaidi ya 1,500 walikuja Morogoro kwenye Camp Connection ili kufurahia Michezo, Maigizo, Power Show, Debate, Talent Show, Muziki na Mafundisho juu ya maadili katika maisha ya kijana.  Bofya "link" ya Picha Za Kambi Disemba 2011 hapo kulia ili kuona picha za kambi za Dar es Salaam, Morogoro/Dodoma, na Arusha/Moshi.  Je, una Power 2 Stand?

    Stay Connected!

    Ili kuendeleza konekshen yako, wasiliana nasi kwa kujaza fomu hapo kulia na kutuma ujumbe wako.  Tuko tayari kukushauri, kujibu maswali yako, na kuwasiliana nawe kwa lengo la kukutia moyo katika maisha yako.  Endelea kudiskonekti na mambo mabaya.  Endelea ku"konekti" vizuri na wazazi, na waalimu, na marafiki wa kufaa.  Zaidi ya yote endeleza konekshen yako na Mungu.

    Camp Connection 2011

    Wow!  Kambi za mwezi wa Juni 2011 zimeisha na wanakambi wamerudi manyumbani, mashuleni, na kwenye maisha yao ya kawaida.  Kila kambi ilikuwa poa na tunashukuru kwamba vijana waliopata bahati ya kuhudhuria walirudi nyumbani wakiwa na kumbukumbu safi.

    Ili kuona picha za kambi "click" kwenye link ya "Picha za Kambi Juni 2011" hapo kulia ... >>>>